Ufafanuzi wa -angu katika Kiswahili

-angu

kivumishi

  • 1

    mzizi wa kivumishi kimilikishi cha nafsi ya kwanza katika umoja.

Matamshi

-angu

/angu/