Ufafanuzi wa -ao katika Kiswahili

-ao

kivumishi

  • 1

    mzizi wa kivumishi kimilikishi cha nafsi ya tatu katika wingi.

Matamshi

-ao

/aɔ/