Ufafanuzi wa -baya katika Kiswahili

-baya

kivumishi

  • 1

    -a kuchukiza; -enye hitilafu; -a kudhuru; -a hasara; -a shari.

    borongoborongo, -wi, tule, -ovu, -eusi

Matamshi

-baya

/baja/