Ufafanuzi wa -bovu katika Kiswahili

-bovu

kivumishi

  • 1

    -liyooza, -liyoharibika.

    ‘Kiti hiki ni kibovu’

  • 2

    -siyofaa.

    kachara

Matamshi

-bovu

/bɔvu/