Ufafanuzi wa -chafu katika Kiswahili

-chafu

kivumishi

 • 1

  -enye takataka; -siyo safi.

  ‘Nguo -chafu’

 • 2

  -enye matendo maovu.

 • 3

  -enye matusi.

Matamshi

-chafu

/t∫afu/