Ufafanuzi msingi wa -cheshi katika Kiswahili

: -cheshi1-cheshi2

-cheshi1

kivumishi

  • 1

    -enye kuchekesha.

  • 2

    -changamfu, bashashi

Matamshi

-cheshi

/t∫ɛ∫i/

Ufafanuzi msingi wa -cheshi katika Kiswahili

: -cheshi1-cheshi2

-cheshi2

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kuzungumza na watu kwa bashasha.

Matamshi

-cheshi

/t∫ɛ∫i/