Ufafanuzi wa -danganyifu katika Kiswahili

-danganyifu

kivumishi

  • 1

    -a hila; -a kulaghai; -a ujanja.

    badilifu

Matamshi

-danganyifu

/dangaɲifu/