Ufafanuzi wa -kaidi katika Kiswahili

-kaidi

kivumishi

  • 1

    -enye kukataa; -enye kukosa utiifu.

    -bishi, kinzani, shupavu, katavu, asi, shindani, korofi, kakamizi

Asili

Kar

Matamshi

-kaidi

/kaIdi/