Ufafanuzi wa -tiifu katika Kiswahili

-tiifu

kivumishi

  • 1

    -enye kufuata maelekezo.

    telekevu, nyenyekevu, mtii, mtiifu

Asili

Kar

Matamshi

-tiifu

/ti:fu/