Ufafanuzi wa -zembe katika Kiswahili

-zembe

kivumishi

  • 1

    -enye ulegevu; -enye utepetevu.

    ‘Mbona unafanya kazi kizembe?’

Matamshi

-zembe

/zɛmbɛ/