Ufafanuzi wa -zuri katika Kiswahili

-zuri

kivumishi

 • 1

  -enye kupendeza; -siyokuwa na hitilafu.

 • 2

  -siyochukiza, -siyokuwa baya.

  ‘Kalamu hii ni nzuri sana’
  ‘Mtu mzuri’
  nyerezi, ajibu, sheshe, taibu, bora, jamali

Matamshi

-zuri

/zuri/