Ufafanuzi msingi wa Afande katika Kiswahili

: Afande1afande2

Afande1

nominoPlural mAfande

Kijeshi
  • 1

    Kijeshi
    jina la heshima na utii ambalo askari humwita mkubwa wake.

Asili

Ktu

Matamshi

Afande

/afandɛ/

Ufafanuzi msingi wa Afande katika Kiswahili

: Afande1afande2

afande2

nominoPlural mafande

  • 1

    mwanamume mwenye kulawiti watu wengine.

    mlawati, basha, mfiraji, mende, mula

Asili

Ktu

Matamshi

afande

/afandɛ/