Ufafanuzi wa Kaburu katika Kiswahili

Kaburu

nominoPlural maKaburu

  • 1

    mzungu aliyezaliwa na kuishi Afrika Kusini, hususan ambaye wazazi wake wana asili ya Uholanzi.

Matamshi

Kaburu

/kaburu/