Ufafanuzi wa Kalivari katika Kiswahili

Kalivari

nominoPlural Kalivari

Kidini
  • 1

    Kidini
    mahali aliposulubiwa Yesu kwa mujibu wa itikadi ya Wakristo.

Asili

Kng

Matamshi

Kalivari

/kalivari/