Ufafanuzi wa Pasifiki katika Kiswahili

Pasifiki

nominoPlural Pasifiki

  • 1

    bahari kubwa zaidi duniani iliyopo baina ya pwani za Amerika upande wa mashariki na Asia upande wa magharibi.

Asili

Kng

Matamshi

Pasifiki

/pasifiki/