Ufafanuzi wa Protestanti katika Kiswahili

Protestanti

nominoPlural Protestanti

Kidini
  • 1

    Kidini
    madhehebu ya dini ya Ukristo ambayo hayafuati baadhi ya mafundisho ya kanisa Katoliki.

Asili

Kng

Matamshi

Protestanti

/prɔtɛstanti/