Ufafanuzi wa Uislamu katika Kiswahili

Uislamu, Islamu

nominoPlural Uislamu

  • 1

    dini inayofuata imani ya kuwa Mungu anayepaswa kuabudiwa kwa haki ni mmoja tu na kwamba Mtume Muhammad (s.a.w.) ni mjumbe wake.

Asili

Kar

Matamshi

Uislamu

/uwislamu/