Ufafanuzi msingi wa aa! katika Kiswahili

: aa!1aa!2

aa!1

kiingizi

  • 1

    neno la kuonyesha mshangao, furaha au kukubali.

    ahaa!

Matamshi

aa!

/a:/

Ufafanuzi msingi wa aa! katika Kiswahili

: aa!1aa!2

aa!2

kiingizi

  • 1

    neno la kuonyesha uchungu.

Matamshi

aa!

/a:/