Ufafanuzi wa aali katika Kiswahili

aali

kivumishi

  • 1

    bora kabisa; bora sana.

    ‘Kitu hiki ni aali’
    adhimu, jalili, tukufu

Asili

Kar

Matamshi

aali

/a:li/