Ufafanuzi msingi wa aalimu katika Kiswahili

: aalimu1aalimu2

aalimu1 , alimu

nomino

  • 1

    Kidini
    mtu mwenye elimu kubwa.

    mwanachuoni, mwanazuoni, ulamaa

Asili

Kar

Ufafanuzi msingi wa aalimu katika Kiswahili

: aalimu1aalimu2

aalimu2

kivumishi

  • 1

    -enye elimu kubwa.

Asili

Kar

Matamshi

aalimu

/a:limu/