Ufafanuzi wa abakasi katika Kiswahili

abakasi, abaki

nominoPlural abakasi

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    kifaa maalumu chenye shanga kinachotumiwa kusaidia kuhesabu.

Asili

Kng

Matamshi

abakasi

/abakasi/