Ufafanuzi wa abee! katika Kiswahili

abee!, bee!

kiingizi

  • 1

    neno la kuitika mtu, hasa mwanamke, anapoitwa.

    labeka!

Matamshi

abee!

/abɛ:/