Ufafanuzi wa abiria katika Kiswahili

abiria

nominoPlural abiria

  • 1

    mtu anayesafiri kwa chombo chochote.

    ‘Gari la abiria’
    ‘Meli ya abiria’

Asili

Kar

Matamshi

abiria

/abirija/