Ufafanuzi wa abtadi katika Kiswahili

abtadi

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

kishairi
  • 1

    kishairi anza kufanya jambo fulani.

    ‘Ninaabtadi shairi hili kwa heshima na taadhima’

Asili

Kar

Matamshi

abtadi

/abtadi/