Ufafanuzi msingi wa abudu katika Kiswahili

: abudu1abudu2

abudu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  omba au fanya ibada kwa unyenyekevu mkubwa, hasa kwa Mungu.

  ‘Abudu Mungu’
  cha

Asili

Kar

Matamshi

abudu

/abudu/

Ufafanuzi msingi wa abudu katika Kiswahili

: abudu1abudu2

abudu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  penda mtu au kitu kupita kiasi.

  ‘Fulani anaiabudu kazi yake’

Asili

Kar

Matamshi

abudu

/abudu/