Ufafanuzi wa adaa katika Kiswahili

adaa

nominoPlural adaa

Kidini
  • 1

    Kidini
    jambo ambalo ni wajibu kwa mtu kulitekeleza k.v. kusali na kufunga.

Asili

Kar

Matamshi

adaa

/ada:/