Ufafanuzi wa Adamu katika Kiswahili

Adamu

nominoPlural Adamu

  • 1

    mtu anayeaminika kuwa wa kwanza kuumbwa na Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

Adamu

/adamu/