Ufafanuzi wa adapta katika Kiswahili

adapta

nominoPlural adapta

  • 1

    kifaa cha kurekebishia mkondo wa umeme.

  • 2

    kifaa cha kuunganishia vyombo vingi vya umeme kwenye soketi moja.

Asili

Kng

Matamshi

adapta

/adapta/