Ufafanuzi wa adhama katika Kiswahili

adhama

nominoPlural adhama

  • 1

    jambo kubwa la heshima na fahari.

    ‘Ilikuwa adhama kwa shule yetu kutembelewa na waziri’

Asili

Kar

Matamshi

adhama

/aðama/