Ufafanuzi wa adhana katika Kiswahili

adhana

nomino

Kidini
 • 1

  Kidini
  mwito maalumu wa kuwaita Waislamu kwenda kusali.

  ‘Piga adhana’
  ‘Toa adhana’
  ‘Soma adhana’

Asili

Kar

Matamshi

adhana

/aĆ°ana/