Ufafanuzi msingi wa adhimu katika Kiswahili

: adhimu1adhimu2

adhimu1

kivumishi

  • 1

    -enye sifa; -liyotukuka.

    tukufu, aali, jalili, ajwadi, akrama, kabiri

Asili

Kar

Matamshi

adhimu

/aðimu/

Ufafanuzi msingi wa adhimu katika Kiswahili

: adhimu1adhimu2

adhimu2

kivumishi

  • 1

    ‘Fulani ana mali adhimu’
    -ingi

Asili

Kar

Matamshi

adhimu

/aðimu/