Ufafanuzi wa adhini katika Kiswahili

adhini

kitenzi sielekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    ita Waislamu kwenda kusali.

  • 2

    Kidini
    tamka adhana hata kama si wakati wa sala.

Asili

Kar

Matamshi

adhini

/aĆ°ini/