Ufafanuzi wa adhinia katika Kiswahili

adhinia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

Kidini
  • 1

    Kidini
    pigia mtu adhana.

Asili

Kar

Matamshi

adhinia

/aðinija/