Ufafanuzi wa adhirika katika Kiswahili

adhirika

kitenzi sielekezi

  • 1

    patwa na jambo la kukuvunjia heshima.

Asili

Kar

Matamshi

adhirika

/aĆ°irika/