Ufafanuzi msingi wa adhuhuri katika Kiswahili

: adhuhuri1Adhuhuri2

adhuhuri1

nominoPlural adhuhuri

  • 1

    wakati wa mchana kuanzia saa sita mpaka saa tisa mchana.

Asili

Kar

Matamshi

adhuhuri

/aðuhuri/

Ufafanuzi msingi wa adhuhuri katika Kiswahili

: adhuhuri1Adhuhuri2

Adhuhuri2

nominoPlural Adhuhuri

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala mojawapo isaliwayo na Waislamu wakati wa mchana.

Asili

Kar

Matamshi

Adhuhuri

/aðuhuri/