Ufafanuzi wa adinasi katika Kiswahili

adinasi, wadinasi

nominoPlural adinasi

 • 1

  (mkato wa waladinasi) mtoto anayetoka katika ukoo bora k.v. ukoo wa kifalme, kitajiri au mlango wa ukoo maarufu; mtoto wa watu.

  mtoto

 • 2

  muungwana

 • 3

  binadamu

Asili

Kar

Matamshi

adinasi

/adinasi/