Ufafanuzi wa adua katika Kiswahili

adua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

Kidini
  • 1

    Kidini
    toa kafara kwa mizimu.

  • 2

    Kidini
    tengeneza hirizi kwa ajili ya kuondoa kijicho.

Asili

Kar

Matamshi

adua

/aduwa/