Ufafanuzi msingi wa adui katika Kiswahili

: adui1adui2adui3

adui1

nominoPlural madui

 • 1

  kiumbe au mtu anayemtendea mwingine uovu.

  hasimu

Asili

Kar

Matamshi

adui

/aduwi/

Ufafanuzi msingi wa adui katika Kiswahili

: adui1adui2adui3

adui2

nominoPlural madui

 • 1

  mshindani au mpinzani katika mchezo wa mpira, ngumi, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

adui

/aduwi/

Ufafanuzi msingi wa adui katika Kiswahili

: adui1adui2adui3

adui3

kivumishi

 • 1

  jambo lolote linalodhuru au kuharibu.

  ‘Umaskini, ujinga na maradhi ni maadui wa nchi’

Asili

Kar

Matamshi

adui

/aduwi/