Ufafanuzi wa afande! katika Kiswahili

afande!

kiingizi

Kijeshi
  • 1

    Kijeshi
    mwitiko wa heshima wa askari kwa mkubwa wake.

Asili

Ktu

Matamshi

afande!

/afandɛ/