Ufafanuzi wa afezia katika Kiswahili

afezia, afasia

nominoPlural afezia

Tiba
  • 1

    Tiba
    ukosefu wa uwezo wa kusema au kuelewa lugha kunakosababishwa na kuumia ubongo.

Asili

Kng

Matamshi

afezia

/afɛzija/