Ufafanuzi msingi wa afkani katika Kiswahili

: afkani1afkani2afkani3

afkani1

nominoPlural afkani

Tiba
 • 1

  Tiba
  mtu aliyepungukiwa akili.

  punguani

Asili

Kar

Matamshi

afkani

/afkani/

Ufafanuzi msingi wa afkani katika Kiswahili

: afkani1afkani2afkani3

afkani2

kivumishi

 • 1

  -enye kupungukiwa akili.

  butu

Asili

Kar

Matamshi

afkani

/afkani/

Ufafanuzi msingi wa afkani katika Kiswahili

: afkani1afkani2afkani3

afkani3

nominoPlural afkani

Tiba
 • 1

  Tiba
  ugonjwa wa moyo unaomfanya mtu kuwa taabani.

Asili

Kar

Matamshi

afkani

/afkani/