Ufafanuzi wa Afrika katika Kiswahili

Afrika

nominoPlural Afrika

  • 1

    bara la Waafrika lililozungukwa na bahari za Hindi, Atlantiki, Mediterani na Shamu.

Asili

Kng

Matamshi

Afrika

/afrika/