Ufafanuzi msingi wa afu katika Kiswahili

: afu1afu2afu3

afu1

nomino

 • 1

  ua la mwafu linalotumika kutengenezea mafuta mazuri; asumini mwitu.

Asili

Kar

Matamshi

afu

/afu/

Ufafanuzi msingi wa afu katika Kiswahili

: afu1afu2afu3

afu2

kitenzi sielekezi

 • 1

  omba msamaha, rehema au wokovu kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

 • 2

  ponya

 • 3

  okoa

Asili

Kar

Matamshi

afu

/afu/

Ufafanuzi msingi wa afu katika Kiswahili

: afu1afu2afu3

afu3

nomino

Kidini
 • 1

  Kidini
  msamaha wa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

afu

/afu/