Ufafanuzi wa afua katika Kiswahili

afua

nominoPlural afua

  • 1

    afya nzuri.

    ‘Kupata afua’
    methali ‘Afua ni mbili, kufa na kupona’
    uzima

Asili

Kar

Matamshi

afua

/afuwa/