Ufafanuzi wa afya katika Kiswahili

afya

nominoPlural afya

  • 1

    hali nzuri ya mwili; bila ya maradhi.

    siha

  • 2

    ‘Afya njema’
    nguvu

Asili

Kar

Matamshi

afya

/afja/