Ufafanuzi wa afyuni katika Kiswahili

afyuni

nominoPlural afyuni

Tiba
  • 1

    Tiba
    kileo, agh. kidonge kinachotengenezwa kwa utomvu wa mmea fulani.

    kasumba, majuni

Asili

Kar

Matamshi

afyuni

/afjuni/