Ufafanuzi wa agaa katika Kiswahili

agaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    toka mkononi na kuanguka.

    teleza, ponyoka

  • 2

    mwagika

Matamshi

agaa

/aga:/