Ufafanuzi wa aghalabu katika Kiswahili

aghalabu, aghlabu

kielezi

  • 1

    mara kwa mara; kwa kawaida.

    ghalibu

Asili

Kar

Matamshi

aghalabu

/aɚalabu/