Ufafanuzi wa agiza katika Kiswahili

agiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    ambia mtu afanye jambo fulani.

    amuru, amrisha

  • 2

    taka kuletewa kitu kutoka mbali.

Matamshi

agiza

/agiza/