Ufafanuzi wa agua katika Kiswahili

agua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    tafsiri ndoto au ishara; piga ramli.

    tabiri, tazamia, angalilia

  • 2

    toa dawa ili kuponya.

    gangua, opoa, topoa

Matamshi

agua

/aguwa/